top of page

Alaisikrai

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

disease prevention

Maasai name

Alaisikrai

abrasions, infection

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: ore ele naa olosikirai, ore alaisikirai naa engidonda epiki, enidung’ kewon au iyata maumivu yeyote jeraha tosesen naa aiputu im’benek nipupu, nindahal nironyoki engidonda nishiu, miho ejing’ ingimek wala irukuru neeku duo archani sidai naleng’ tenemurati ilayiok nepiki, ninye epiki emurata aalayiok amu archani lemeeta madhara yeyote ake ishuinye ake nemiiteu orkuro yeyote aaimu.. ayia..


Swahili translation:  Hii ni ile miti,hii miti inawekwa kidonda,pahali umejikata ama ukiwa na maumivu yeyote jeraha kwa mwili unatoa matawi na kupepeta,unaweka pahali kidonda inapona,usipatie ioze na isiingiwe na dudu ni dawa nzuri kabisa vijana wakitaheri inawekwa,ndio inawekwa pahali imetayarishwa maana aina madhara yeyote ndio inaponesha maana dudu haiwezi ingia.

 

English translation: This is a type of tree. You may take this tree and place it on a place where you have cut yourself or have pain from an abrasion. Take the branches, sift (crush) the leaves, and put them where the wound is healing. This will stop rotting and infection from worms, as the plant prevents harm by stopping the worm from entering. 


Alaisikrai
00:00 / 00:53
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page