top of page

Alasiti

Plant details

Acacia albizia

Plant use

Disease/ Afflicted area

body care, disease prevention

Maasai name

Alasiti

immune

Scientific (Latin) name

Acacia albizia

Part used

Common name

Persian silktree

Maasai translation: alasiti, ore kulo momo lenyena nenyor ingineji naleng’ ore engine nataama.. Nataama elaasiti eniyeng’ niok imotorik enyena nekiramat, endoki naji alasiti, metaa inye taata kulo momo enya ingineji, nenya engine.. nejing’aa aatwa ingiri, metaa ejing’aa ingiri, orsarge wilopile naa eniyeri imotoriki neeku aitooko ele hani naakejing’ naa inye osesen lengine. .. eee..


Swahili translation: miti hii,hii mbegu yake inapenda mbuzi sana ile mbuzi inachinchwa.Ukichinja na ukunywe supu inakupatia afya,hii miti,sasa utakula hii mimea ambayo mbuzi inapenda ,mbuzi inakula.Inaingia ndani ya nyama ,ndio inaingia nyama ,damu hiyo damu baada ya kuchinja unapika supu na ukunywe kwa hii dawa na inapenda mwili wote….ndio


English translation: This tree has seeds of which goats like very much. Slaughter the goat and make the soup (from the fat and blood), and add this medicine to the soup, the medicine which the goats like very much. Drink the soup with the medicine and it will improve the health of the whole body… yes. 

Alasiti
00:00 / 00:41
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page