top of page

Arpande

Plant details

Lannea schweinfurthii

Plant use

Disease/ Afflicted area

drink preparation

Maasai name

Arpande

Scientific (Latin) name

Lannea schweinfurthii

Part used

root, bark

Common name

False marula

Maasai translation: ….. Archani owokie irmaasai shai badala armajani, yani aeyeri ake ele nepiki engare emoti nitadoikini ingabobok, nepiki kule, nepiki esugari neoki shai kwahiyo meeta armajani yeyote opiki, engare ake, wele hani oo kule neeku shai.. 


Swahili translation: dawa inakunyiwa na wamaasai kama chai badala ya majani,inapikwa hii na kuwekwa maji kwa sufuria na kuweka maganda,inawekwa maziwa,inawekwa sukari inakunyiwa chai kwa hivyo majani haina haja,maji tu,na hii dawa na maziwa inakuwa chai.


English translation: This medicine is drunk by the Maasai as tea as a substitute for leaves. Water is cooked in a pot, then the bark is added, milk is added, sugar is added, and the tea is drunk. Leaves are not needed, only water and the medicine, and this medicine and milk becomes tea. 

Arpande
00:00 / 00:37
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page