top of page

Emukea

Plant details

Flueggea virosa

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment, body care

Maasai name

Emukea

vision

Scientific (Latin) name

Flueggea virosa

Part used

Common name

Simpleleaf bushweed

Maasai translation: kaaji ake Lomayan leaseki napukunye Future Warriors Tanzania, kiata ake olomoni lang’ egira ake aas utafiti oorkiek, kineputwa archani oji Emukea teneweji esilalei, ore emukea naa archani owoki indana, aituru indana neyeri niok, iiidim aatookie aatwa imotorik au niok ake enaarchani, iyiolo ele hani neretoki nyoo? Ore ele hani naa irtung’ak oinoto matatizo oongonyek lemukure edol ineoodo, kake eneok ele hani nidimai pee edolihoi aigil aashuku ingonyek enyana metaa normal moja kwa moja, neeta sii irmatunda aanya irtung’anak, nenye ingishu nenya indare, nenye ilowuarak loserok pookin enaa inderei.


Swahili translation: Naitwa Lomayan  leaseki ninatoka Future Warriors Tanzania,tuko na mgeni wetu akifanya utafiti ya miti,tumepata dawa inaitwa Emukea pahali inaitwa Esilalei,Emukea ni dawa na ni mzizi,unachimbua mizizi na kuchemchwa na kunywa,unaweza kunywa kwa supu ama unakunywa tu pekee,hii dawa inasaidia nini?Hii dawa ni watu wamepata matatizo ya macho ya kuangalia mbali,lakini ukikunywa hii dawa inaweza rudisha kuona ikuwe kawaida moja kwa moja,pia iko na matunda watu ula,ngombe ula na kondoo,pia wanyama wa pori ula kama simba.


English translation: My name is Lomayan Leaseki, and I am from Future Warriors Tanzania. We are with a guest looking at trees. We have found a medicine called Emukea in a place called Esilalei. Emukea’s roots are a medicine. You dig the roots, boil, and drink. You can drink this medicine with soup, or alone. So what does this medicine do? This medicine is for people who have nearsightedness. If you drink this medicine, it can restore normal vision. It also grows fruits that people, wild animals, sheep, and lions eat. 

Emukea
00:00 / 00:45
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page