Maasai translation: aaji naa engarna edward kuyan, napukunye naa engop nai kiserian, te wilaya e longiito, naake ore naa ela hani oji endemelwa naa archani sidai oleng’ lekindumia oshi iyiook kira irmaasai amu ihori ingera kunyinyik, ore peeku eya engerai engohoke nihori naake ishiunye, naa archani sii loloirobi laa tenelo peeimwoi oloirobi nekinjori nekinjiunye osesen pookin, naake ore engerai eepare aabulu naa akishori amu archani sidai oleng’ tiatua osesen lingerai kinyi tem’bulunoto … metaa ore elehani naisidai oleng’ oji endemelwa..
Swahili translation: Jina naitwa Edward kuyan,natoka pahali ya kiserian,kwa wilaya ya loongiito,hii dawa ina endemelwa ni dawa nzuri sana ambayo sisi tunatumia tukiwa wamaasai tunapatia watoto wadogo,mtoto akiumwa na tumbo anapatiwa na inaponesha,nani dawa ya homa ukishikwa na homa unapatiwa na inaponesha mwili wote,mtoto anapokuwa anapatiwa na inasaidia mtoto akuwe maana ni dawa nzuri…sasa hii dawa inaitwa endemelwa ni nzuri sana……
English translation:Â My name is Edward Kuyan, I come from Kiserian in the Loongiito district. This medicine is Endemelwa, it is a very good medicine we Maasai use. We give it to small children to help if a child has a stomach ache. It is also a medicine for fever. If you catch a fever, take this medicine and it heals all the symptoms. This can also help children with the whole body, if the child is fed it will help (the immune system) because it is a very good medicine. This medicine is called Endemelwa, and it is very good.Â