top of page

Endiasika

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Endiasika

joints, back, muscles

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: ashe oleng” kaaji ake lomayan leaseki napukunye future warriors, amu kiata ake archani oji endiasika otii ene, yolo endiasika naa archani owoki indana, ore indana enyena naa akeretoki tiatua imotorik aa akepiki aatwa imotorik neyeri, keretoki nyoo tosesen? Yolo endoki naretoki tosesen naa irtung’anak aaya irubat oongejek, irtung’anak aaya ingoriong’i keretoki lelo tung’ana naleng’ metaa lirtung’ana kituaak ihori ele hani tengata naodo kwasababu keretoki naa inje aashuku joints mitahoto esidai.


Swahili translation: Asante sana'' Naitwa Lomayan leaseki natoka future warriors,tunayo mti unaitwa endiasika ambayo iko hapa,unajua dawa hii mzizi inakunyiwa,mzizi yake inasaidia supu maana inawekwa ndani ya supu na kupikwa,inasaidia nini kwa mwili?Ile inasaidia kwa mwili ya watu wanaumwa na viungo vya miguu,watu wanaumwa na mgongo inasaidia hawa watu wakuwe sawa unatumia hii dawa kwa muda maana inasaidia kurudisha viungo vya mwili iwe sawa kabisa.


English translation: Thank you very much. My name is Lomayan Leaseki, and I come from Future Warriors. We have a tree called Endiasika which is here. The root of this medicine is chewed, and also put in soup and cooked. So how does it help the body? It helps people who have sore limbs and joints, or back pain. If you use this medicine for a little while, it will help these body parts to return to normal. 

Endiasika
00:00 / 00:31
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page