top of page

Endulelei

Plant details

Solanum incanum

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Endulelei

abrasions

Scientific (Latin) name

Solanum incanum

Part used

root, leaves

Common name

Poison apple

Recording 1: Maasai translation: ore ena kitejo naai meoki… endulelei..  Ore ake taata pee itum ewoji nitudung’o kewon nindau ena ‘endulelei’ niudu inji niroonyu ake taata nipik basi inakausha …eee…  ni dawa mzuri.


Swahili translation: hii Tumesema hii akunywi…Endulelei..ukipata mahali umejikata unatoa hii dawa unatoboa unafinya unaweka basi inakausha…ndio..ni dawa mzuri.


English translation: This is a new medicine... Endulelei… If you find a place where you have cut yourself, you should take this medicine, pierce a small hole in it, squeeze it on the wound, and wait for it to dry. This will help, because it is a good medicine.  Recording 2: Maasai translation: ore ena naa endulelei, endoki naji endulelei tengutuk aarmaasai… neoki indana toloirobi loongera .. eee naa enekiweh endoki pee kiinduny’ osesen nindau ena toki naji endulelei aidosu inji nikiny’ aiatau ele toki niyau em’bata osoit lijo ele .. ning’aru orkiti soit niwohiweh … aawohiweh.. Neking’ami osesen nielie aituhulaki ositimu ninja..


Swahili translation: Hii ni Endulelei,kitu Inaitwa endulelei kwa lugha ya kimaasai….

Inakunyiwa kwa homa ya watoto…damu ikitoka kwa mwili unatoa hii dawa inaitwa endulelei unashomoa hii miti na mzizi unatoa maganda unaleta karibu na mawe kama hii….unatafuta jiwe ndogo unapiga…unapiga..unakatwa kidogo unapaka unachangaya kama hivyo…


English translation: In the Maasai language, this is called Enduleilei. It is drunk by children to cure fever. If blood comes out of the body, you can dig the roots of this tree and remove the bark. Then use a small stone to hit until it is cut a little. To apply it, rub it around the wound and it will help.  Recording 3: Maasai translation: ore ena ewoki .. endulelei… ore indana enyena akeyieri ake  neok engata niata oloirobi airog ..aaa..aa.. Kake aiyer mitokitoko niok … metaa archani siinye loloirobi ewoki kake mee kulo momo endanata, “ena ena taata eee inye eyeri aikunaki inji taata” aapik emoti inachemka eee. 


Swahili translation:  hii inakunyiwa..

Endulelei…mzizi yake inapikwa na unakunywa wakati ukona kiu…aaa..aa..unachemsha na kunywa….hii ni dawa ya homa inakunyiwa lakini sio mbegu ni mzizi,''hii hii Leo ndio inapikwa hivi inawekwa kwa sufuria na kuchemshwa ndio.


English translation: This medicine, Enduleilei, is drunk. It’s root is cooked to drink when you need it (are thirsty for the medicine). If you boil and drink, it can help cure fever. You can cook and drink the root, but do not eat the seed. This is how it is cooked, to be put in a pot and boiled. 

Endulelei
00:00 / 00:31
Endulelei 2
00:00 / 01:00
Endulelei 3
00:00 / 00:37
bottom of page