Maasai translation: ayia.. Nanu letema aigil.. Naake kineputwa enjani naji endundulu naake sidai amu indana ewoki, naa ore ewoki indana naa akelo aaretoki irtung’ana toongoriong’i toomoyiaretin enaa kuhusu iyiook ileo naisidai amu ee ore peelo ninya en’daa nirapoho naimuku amu meeta haja pee iyer aimuku ndani aardaikani imiet niok nimaniki aa ore enaduo oohoke napong’o au aitarapohe naleng’ beijing’ esidai .. metaa kelo aaretoki irtung’anak kumok naleng’ ele shani.
Swahili translation: Ndio..mimi Letema tena…
Tumepata miti inaitwa endundulu ni nzuri maana ni mzizi ndio inakunywa,ikikunyiwa mzizi inasaidia watu mgongo magonjwa kama kuhusu sisi nzuri maana ukikula chakula na ushibe unipaka maana hakuna haja uweke kwa maji ukikunywa unapata tumbo imetulia baada ya dakika tano imepoa..sasa inasaidia watu wengi sana.
English translation: Hello, this is Letema. We have found a tree called Endundulu. It is good because the root can be drunk for medicine. If the root is crushed and eaten, it will help to cure back diseases and injuries. There is no need to put it in water. If you have problems with the stomach after eating, you can also drink this medicine, and the stomach will settle in just five minutes. It has helped a lot of people.Â