top of page

Engamuriaki

Plant details

Carissa edulis

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Engamuriaki

STDs, joints, gonorrhea

Scientific (Latin) name

Carissa edulis

Part used

Common name

Conkerberry

Maasai translation: ore naa ena Engamuriaki, naa inye pee enidol eng’ou inji engamuriaki amu aeturuni ohi neyeri kuna tana ore ortung’ani aata arbae naa inye naa eyeru neokie esupu aokie ilukuny’ aa ndare nee ninepu aituhul nijo ena peokie ortung’ani esupu pee enaa ortung’ani aata arbae nelelek itau amu inye oitibu pookin, enaa engoriong’ nitibu, enaa matwan nitibu, enaa ngung’ nitibu .. engamuriaki naa metaa iim osesen pookin.


Swahili translation: Hii ni Engamuriaki,na inanusa hivi engamuriaki unapika mizizi na mtu mwenye ako na gonorrhoea ndio anapika na kunywa kama supu kwa kuchemsha kichwa ya kondoo unapata kabla ya kukoroga unapatia mtu mwenye akona na gonorrhoea na kumaliza hiyo ugonjwa,mgongo pia inatibu,viuongo vya mwili pia inatibu,misuli ya miguu inaponesha…engamuriaki na inakuwa ya mwili wote.


English translation: This is Engamuriaki. People who have gonorrhea cook the roots of this plant in a soup made from boiling a sheep’s head. If you take the sheep’s head out before stirring, then if you give the soup to a person with gonorrhea the disease will disappear. It can also help the back to heal, the joints to heal, and the muscles of the legs to become stronger. Engamuriaki helps the whole body. 

Engamuriaki
00:00 / 00:41
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page