Maasai translation: …. Voice trying to identify the plant…. From the elder… meeta endoki nindaasasa engonini amu miyelelo maana engonini, neeku aalo mundara oshi ejing’ engoinini, neeku lelo metaa ineweh oshi engoinini, metaa meoki, mikuni engai kake elo taata aajing eneweji emuratishoi, … ( kama emuratihoi aejing’ aikunakino aja)? Maa eyauni engonini nisujihoreki metaa aapik engare nisujieki ortung’ani enakata duo emurati, metaa ilo archani lenye naa eneyauni nitoloki tekishomi nelang’ irtung’anak kulo duo taata lenaang’ esukukuu, nipoosa ilohi aitiruani lang’ laalarabali, nena isiatinÂ
.
Swahili translation: sauti ambayo inataka kujua mti…kwa mzee kijiji..inafanya kazi gani engonini,inaingia msituni engonini,inakuwa hivyo haikunyiwi',haikunywi,haifanywi hivi lakini inaenda kuingia mahali imetayarishwa,...(ina ingia mahali imetayarishwa aje)?inaletwa na kubonda na kutoa maji yake na kuoga nayo hiyo miti inaletwa na watu wanapoingia boma wanapitia juu yake kwa mlango ya boma' watu wa hii boma,wakati wa sherehe,inapoesha hiyo mapepo yetu'vita,hiyo ndio kazi.
English translation: What does this plant do in the bush? It is not drunk like a medicine, no, it is not used like this. It is used when someone is going to enter a place it has been prepared for. These trees are brought and placed at the entrance to a boma, so when people enter the boma, they pass over it through the boma’s door. When there is a ceremony, this will keep out the demons. That is its work.Â