top of page

Esilalei

Plant details

Commiphora schimperi

Plant use

Disease/ Afflicted area

firemaking, gum, water, construction, body care, disease prevention

Maasai name

Esilalei

Scientific (Latin) name

Commiphora schimperi

Part used

Common name

Glossy-leaved corkwood

Maasai translation: kaji nanu Ruben,aata ele ohomoni kiasita juro orkeek,keji ele orchani le Esilalei,kimpirinyie enkima etiu enaa enkiberiti tormaasai,nikitum entoki naijo enaingure tenkarna ormasaai ekintumia enkure amu ekinyaal neyushunye engure,nikiya enaingure enkang amu ore pii ipik enkima neera ilajangak empuruo we ngojongani,ore pedungi ele shata ningua tonkolongi uni nikipuonu aun engumoto ni kiun nebulu neeku kumok,nekindiim aitobirie ormanie,ore si neeta entoki naijo maua naitobir,nikintumia tinias inji nintoki apik osesen neitobir osesen metosidana,ena eikoni Esilalei.


Swahili translation:  mimi naitwa Ruben, niko na huyu mgeni tukifanya utafiti wa miti, hii inaitwa Esilalei tree, esilalei ambayo tunatumia kutengeneza moto kwahiyo hii ni kama kiberiti yetu wamasai, lakini pia tunapata gum ambayo tunaita enaing’ure in maasai kwahiyo tunatumia tukipata chui gum hatutasikia kiu na tunapeleka gum kwenye boma ile moshi inafukuza nzi na mbu lakini pia tukikata mti huu tukipanda inaota kwahiyo tunakata branch tunaacha kama siku tatu tunakuja kuchimba shimo halafu tunaotesha na inakua inakua mengi, kwahiyo tunaweza kutumia hii kutengeneza fence ya boma lakini pia mti una kama maua ambayo inatengeneza, hii tunatumia ukifanya hivi halafu tunaweka kwenye ngozi yako inafanya ngozi kuwa nzuri, kwahiyo ndo matumizi ya esilalei.


English translation: My name is Ruben. I am with this visitor doing research on trees. This is called the Esilalei tree. We use Esilalei to make fire, so this is like a Maasai match. We can also get gum from this tree we call enaing’ure in Maasai. We can use this gum when we are thirsty so that our thirst is quenched. If we burn the sap of this tree in the Boma, the smoke from the fire repels flies and mosquitos. Also, if we cut a branch of this tree and plant it, it will grow. We can cut the branch, leave it on the ground for about three days, and then we dig a hole and plant it. It then grows very fast, so we can use it as a strong fence for the boma. The tree also grows flowers. If we rub the flower juice on our skin, it makes the skin beautiful. That is the use of Esilalei. 

Esilalei
00:00 / 01:25
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page