top of page

Iloondwa

Plant details

Rapanea melanophloeos

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Iloondwa

stomach, urinary

Scientific (Latin) name

Rapanea melanophloeos

Part used

Common name

Cape beech

Maasai translation: .. nimaniki ingulak paake eeku inji eyia.. Ingulak inono aadoru, ake edoru toi, ingulak ooloodua, ore naa sinye ilo enaalo ake itobir kunaa.. Kunen akeyie.. (joints) ore lelo kiek pokira aja naa ilaaramat ortung’ani inje taa irkiek layelo naleng’ lekiokito oshi iyiook amu taataaake irumukutani kake iyiolo naa siinye ormukutan olialo engohoke ake elopiho .. ormukutan, elopiho kigurum aaku lelo metaa kigurum naa eninepu taattoi inoshi kera kunyinyik pee ihori ormukatan onoshi kata naa nemesidan ingoshuaak neramat taa, neeku lelo metaa eramat amu itau endoki naata tengohoke naaduo, metaa ore taa lelo kiek… ketaa lelo kiek aja mee boi ong’wan? Etaa lelo kiek boi ong’wan lelo, etaa tenidol lelo irkiek leramatata ortung’ani taa ayelo, neeku lelo metaa inje irikiek layelo amu etii taa siinye osokonoi kake metii naatoi  kuna kwapi.


Swahili translation: .....unapata makojoo ikiwa hivi….makojoo inakuwa nyekundu,nyekundu kabisa ,inatoa makojoo ya kijani kibichi,sasa hivi inatengeneza hizi…Hapa hivi.(mizuli)hizo dawa ni za kuponesha mtu hii ndio mimi najua,ambayo sisi tunakunywa Leo irumukutan unajua inaponesha tumbo na kutapisha ….ormukutan,inatapisha na kugurumisha inakuwa hivyo na kugurumisha na ukikuta wale watoto wadogo ipatiwe ormukutan wakati tumbo si nzuri inasaidia inakuwa hivyo na inaponesha na kutoa ile kitu iko kwa tumbo,sasa hizo dawa…imekuwa hizo miti haina nne?kuna mti haina nne,ukiona hizo mti inasaidia mtu mwenye namjua ,inakuwa hizo miti ninajua kuna pia inaitwa osokonoi lakini hakuna hapa.


English translation: If you see urine like this ….urine turns red,very red,it turns urine green,so helps in this…in here (veins)those herbs cure, that what I know because we drink, ormukutan cure stomach issues in vomiting…. ormukutan,it causes someone to vomits and causes the stomach to cure and if you get those small children they are given it cures the stomach it becomes that and cure and remove that thing in the stomach. Herb…it's those four types of trees?There are four types of trees,if you see those trees it helps someone I know,it is those trees that I know there is also another call warbugia ugandensis but you don't get it here.

Iloondwa
00:00 / 01:08
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page