top of page

Olchoki

Plant details

Euphorbia crotonoides Boiss

Plant use

Disease/ Afflicted area

animal health, birth

Maasai name

Olchoki

Scientific (Latin) name

Euphorbia crotonoides Boiss

Part used

Common name

Maasai translation: archani oji olchoki ele, laa teneiho engiteng’ au tenibiru neeku duo iyeu naaduo nitau emudong’ tengohoke nekinjo ele toki oji olchoki nelo engiteng’ aitau ina mudong’ ake ihori egiteng’ au engine aihorie engare metooko naa akelo aisuj engohoke nitau emudong’ wa archafu pookin otii atwa engohoke. Kake ingishu au indare naiboo emudong’ ake ihori. (by making it clear).


Swahili translation:  hii dawa inaitwa olchoki,ngombe ikifanya au itoea njao imekufa na haijatoa pahali ya mtoto na unataka itoe,kwa tumbo tunapatia hii olchoki ngombe inatoa hii mabaki kwa tumbo' Maneno chache kuhusu mimea:inapatiwa ngombe au mbuzi inapatiwa na maji ikunywe na inaenda kuosha tumbo na inatoa mabaki baada ya kuzaa kwa tumbo ndio anapatiwa.(ndio ijulikane)


English translation: This drug is called olchoki. If the cow has a miscarriage and has not given birth to the child, we give the cow olchoki to help dissolve and remove the residue from the cow’s womb. It can also be given to a cow or goat with water and this washes the womb of all residue after successfully giving birth. 

Olchoki
00:00 / 00:20
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page