Maasai translation: ore oldupai, ewoki indana ordupai, kake ore ewokoto aandana ordupai miok akeduo peke yake, tenekiyeng’ naai engine tiaulo nekindau indana nekipik aitau imotorik inasubu inye ake ewok, meeta taa oldupai engaii, ina siinye ingitumiarato enye indana.. Naa nyoo eretoki osesen lortung’ani? … neretoki siinye osesen lortung’ani enaalo akeyie pookin olee.. eee..
Swahili translation: oldupai,inakunyiwa mzizi ya ordupai,lakini kukunywa mzizi ya ordupai huwezi kunywa pekee yake,tukichinja mbuzi nje tunatoa mzizi na kuweka supu tunakunywa,ordupai haina nyingine,hiyo tu ndio matumizi yake ya mzizi…nini inasaidia mwili ya mtu?.....inasaidia mwili ya mtu na upande hii yote ya mwanaume…ndio…
English translation: This is Oldupai. Oldupai root is drunk, but you cannot drink Oldupai root alone. But if you slaughter a goat outside, take the root from the plant, put it in the soup with the meat and drink it, it has no comparison. That's how you prepare the root. So how does it help a person’s body? It supports immune function… yes.