top of page

Ondemwai

Plant details

Commiphora swynnertonii

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Ondemwai

respiratory

Scientific (Latin) name

Commiphora swynnertonii

Part used

Common name

Myrrh

Maasai translation: ore ele naake euduni, ewok taatoi irtung’anak ortemwai, neramatisho kake emoji moyian oorgoiti, iyiolo iyie ina moyian naji enorgoit? … TB.. ipae naake euduni ake taata neudokini orkobo nerukokino nepuo aahol enaa enoshi ilata enger neeku ore ake pee ihol neeku taata eninjo ortung’ani iidip engijiko.. Ee kijiko.. Amu akihori taake nesika neeku enginyi ake injo neer naleng’ kake ina moyian ake siinye itibu ele, ina orgoo.. Metaa enengijko ake, kake aiudu nepwoi aahol aaholie elaita, itibu taa inewei abaraki.


Swahili translation: hii nayo inadungiwa,inakunyiwa na watu wagonjwa,inasaidia lakini ni ugonjwa wa kifua,unajua hiyo ugonjwa wa kifua?...ugonjwa wa kifua ..inadungiwa kwa kikombe inawekwa inaenda kuchanganya kama ile mafuta ya kondoo ukichangaya unamalizia kwa kupatia mtu na kijiko….Ndio kwa kijiko..kwa sababu inapatiwa inakuwa ni kidogo na kutoa hiyo ugonjwa kabisa,ni hiyo ugonjwa tu ndio inatibu,hio ya kifua..sasa ni ya kijiko tu,unadunga na inachanganywa na mafuta,inatibu hapo vizuri.


English translation: This is injected or drunk by people, and it helps with lung disease… you know about lung diseases, right? It is put into a cup, mixed with sheep’s fat, after which it is given to someone with a spoon, yes, a spoon. When it is given, it is given in small amounts because small amounts completely cure the disease, like diseases of the chest. If you take a spoon of this mixed with oil, it will treat diseases well. 

Ondemwai
00:00 / 01:21
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page