top of page

Orbili

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

animal health, body care

Maasai name

Orbili

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore ele hani naa jamii nabo oo laduo lekijo silale aashu olndemwae  too iwejitin naatii olndemwae ore naa ele hani  epahaa oo orkulik amu meeta inye emanaoo duo enaa taata inang’ole juice napuki telehani kake eesihoreki iltung’anak itaunye imboori endoki nainosie indare em’boliai, kake oldonyo sii ebulunye , mebulunye pookiweji.


Swahili translation: hii dawa ni jamii moja na ile tunaita silale ama olndemwae mahali iko oldemwae na hii dawa zamani na dawa zingine maana haina kitu kama kitu ya kutafuna Leo kama ile kitu ya kunywa na kuweka hii sahani lakini watu hutumia kutoa kitu mbuzi wanatumia kula chumvi,lakini inamea pia mlima haimei kila mahali.


English translation: This medicine can also be called ‘silale’ or ‘oldemwae’. In the past it has been used as a traditional medicine, and it is not like modern medicine that you chew or put in a tablet. People give it to goats to maintain their health and can also ingest if people crave salt. This medicine only grows on mountains, not everywhere. 

Orbili
00:00 / 00:38
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page