Maasai translation: Ore orboboli ambayo eretoki ingishu naata ormokho pee epiki aatwa inakidonda ore baadae ninduhulaki ingutik kurion kidogo nipik oo engit makat nitibu ormokho, ore ormokho naa inohi kidondani oo ingishu naapuku too irmuro naadoto engiteng’ nilubulub osesen inye elo ele boboli aalo aitibu naa naake  iidong’ aasese ore pii in’dip nipik engiteng’ teipa engolong’ are ake nishiu mitoki aata osujati.
Swahili translation: orboboli inasaidia ngombe ina ugonjwa ya ngozi,inawekwa ndani ya kidonda na baadae inachanganywa na majivu chache na chumvi ndogo inatibu ugonjwa ya ngozi,na hii ugonjwa ni ile kidonda ya ngombe inatoka kwa shingo ya ngombe ambayo inatoa nywele inatoa kitu kama damu kwa mwili na hii nywele inatoka hii dawa boboli inaenda kutibu, ukibonda dawa ukimaliza,unaweka ngombe jioni siku ya pili inapona na hakuna kurudi baadaye.
English translation: Orboboli is used to treat skin diseases in cattle. It is mixed with a small amount of ash and and salt, and then applied to the wound to treat the skin disease. The disease is a type of sore or wound that appears on the neck of the cattle, and oozes a blood-like substance. Orboboli is used to treat this condition. After you apply the medicine, watch the cattle overnight, and by the second day the condition heals and there is no recurrence.Â