top of page

Orbukoi

Plant details

Terminalia brownii

Plant use

Disease/ Afflicted area

construction, medical treatment

Maasai name

Orbukoi

respiratory, pneumonia, stomach, malaria

Scientific (Latin) name

Terminalia brownii

Part used

Common name

Mbarao

Maasai translation: Orbukoi ele nekindumia irmaasae ootobirie olnjani oihor ingishu pee itobir irkipeu enakata eeta ingishu irkipeu, lakin ewook siinje irmaasae ilndung’anak pee itobir engohoke neretoki ake siinye nemonia kwamba teniata malaria nitobir ninjiu meeta endoki kindumia tele hani kake eeta ake siinye inguliek matumizi amu ore kuna tokiting’ noodo ninosi apa aatwa lakini eepa nitumia tiapa aitobirie arangi , aaitobir arangi nepiki injoondo nibadilish injoondo  nedoru arahu eeku tulelei meeta inye peji orbukoi kake kindumia ake ele bukoi aaitobirie iltageta lekingarie ingang’itie aang’ oo irmaasae metaa nena matumizi pookin naa ele hani ojo orbukoi.


Swahili translation: hii ni Orbukoi wamaasai wanatumia kutengeneza dawa ya kupatia ngombe ili kuzaidia kupumua ,pia wamaasai wanakunywa ill isaidie tumbo pia inasaidia pneumonia kwamba ukiwa na malaria na inaponesha na hakuna kitu nyingine tunatumia lakini pia ina matumizi zingine maana hizi vitu refu ya kukuliwa inaliwa ndani lakini pia ilikuwa inatumiwa kutengeneza nayo rangi,kutengeneza rangi inawekwa ngozi na inabadilishwa ngozi iwe nyekundu ama iwe rangi turungi tunatumia hili bukoi kutengeneza kama vitu ya kutengenezea boma yetu sasa hizo ndizo matumizi yote ya hii miti inaitwa orbukoi.


English translation: This is Orbukoi, the medicine that Maasai people use to help cows breathe better (heal lung disease). The Maasai people also drink it to help the stomach, and it can cure pneumonia and heal malaria. There is no other medicinal use, but it has other uses. These long edible branches are eaten to help internal functions, but they can also he used to make paint to put on the skin. It makes the skin a red or orange color. We also use the branches of this tree to make our houses; that is all the uses of the Orbukoi tree.

Orbukoi
00:00 / 00:58
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page