top of page

Orkitarwo

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

perfume, drink preparation, construction

Maasai name

Orkitarwo

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore ele likae hani naa kitetoito enejii orkitaruo naa ore ele kitaruo naa alnjani oropili alnjani naai ore irmuran tenepuo irpuli nelelek eeku duo  amu akeji olaibor benek amu iibor im’benek eniin’or  taata  ore enae hoto nenyori , enyori im’benek enyena tenahoto niibor tenahoto kwahiyo akejii alaibor benek, naa oreele hani neesihore irmaasae oo erkijanani aajitie ingitikit taata amu alnjani oropil kake niragieki sii too irpuli, ore neneo irpil aanya ingiri taatua inganas oo ingapunia naa ore amu epuyapui em’benek enyena meeta erkeko naa sidan teniragieki taata aitaa erwat aaituhulaki endoki najii osendu otii ake siinye humata oldonyo tedaalo , kake ore sii ake ele hani naa teneturuni indana inyena naa sidan teneyeriek imotorik, supu neyeriek shai eekule  naa sidai shai enye amu eeku duo shai naropil kwahiyo ejii inye orkitaruo.


Swahili translation: hii dawa nyingine ni imekauka na wakutengeneza na huu kutengeneza ni dawa ina harufu nzuri ambayo warani wakienda msitu kukula nyama wanatengenezea nyumba maana inaitwa majani nyeupe maana majani ni nyeupe na upande nyingine ni kijani kibichi,majani yake ni kijani kibichi na nyeupe upande nyingine sasa inaitwa majani nyeupe,na huu mti wamaasai wanatumia na vijana wapanguzia mapaja maana ina harufu nzuri na inatumika kulalia msituni,na wakienda kukula nyama msituni na mlimani maana ni nyepesi na aina miba nani nzuri ikilaliwa kama kitanda ikichanganywa na mti unaitwa osendu enye iko juu ya mlima,lakini hii dawa ikichimbwa mzizi ni nzuri ikipikwa na supu,inapikwa chai ya maziwa na chai yake ni nzuri maana inakuwa chai enye ina ladha nzuri sasa inaitwa ya kutengenezea 


English translation: This plant is dried to make into a good medicine. You know when it is ready because it has a good smell. When the warriors go into the forest and eat meat, they make a bush camp out of these ‘white leaves’. They are called this because one side of the leaf is white and one is green. Young maasai will tie this tree too their thighs because it has a very pleasant smell like perfume. They will also sleep on it in the forest: When they go into the forest and the mountains to eat meat, this plant is very lightweight and comfortable to sleep on, like a bed, especially if combined with a tree called ‘osendu’ found atop the mountain. The root of this plant can also be dug up and cooked in a soup as a medicine. It can also be cooked into a milk tea which tastes great. It’s called a ‘medicine for making’.

Orkitarwo
00:00 / 01:07
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page