top of page

Orkokola

Plant details

Rhamnus staddo

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment, drink preparation

Maasai name

Orkokola

stomach, constipation

Scientific (Latin) name

Rhamnus staddo

Part used

Common name

Staddo

Recording 1:

Maasai translation: Ore kitii eneweji tenakata kitii engapune naji onoloikumae engapune naji enemoyaso naa ore enaa apune naa inye duohi ereunye irmaasae ingishu ingatitin oo irpuli neponu aayeng’ ingishu teneweji neok irkeek naa ore matua oo irkeek ooki tene naa etii olnjani ojii orkokola, ore orkokola naa aljani sidai loo irbaa oisuj orsesen ele hani oji orkokola kake mekiidim aatodol taata tene amu humata oldonyo etii naleng’ nalakwa kake kepyo naake apa irmaasae ayaau too oldonyo ilo hani ojii orkokola pee eponui aaituhulaki imotorik neokieki engisari amu aljani sidai naa ookeki imotorik elukunya naa ore ake sii ilo hani oji orkokola neramatiho aaramat ingoshwaak , ore taata olndung’ani naa labda otooko eilata teneeku irenyita eilata ore pee eok ilo hani indeng’udung’  inana siaitin naa taata ooilat.


Swahili translation: Tukiwa hapa sasa tuko kwa katikati ya mlima ambayo inaitwa mkulima wa mzee kobe ya enemoyaso na hii mlima ndio wamaasai walikuwa wanaleta ngombe na kukuja kuchinja wakati wanaenda msituni wakichinja hapa na wanakunywa na baadhi ya dawa ya kukunywa kuna orkokola,orkokola ni dawa nzuri ya majeraha inatapakaa kila mahali ya mwili hii dawa inaitwa orkokola lakini hatuwezi Leo ona maana iko juu ya mlima kabisa lakini wamaasai walikuwa wanaenda kuleta kwa mlima hii dawa inaitwa orkokola,orkokola na kuchanganya na supu na kukunywa na kichwa imechomwa maana ni dawa nzuri ya kukunywa na supu ya kichwa na hiyo dawa inaitwa orkokola inasaidia tumbo,mtu mwenye amekunywa mafuta na inamfanya kutoa haja kubwa akikunywa hii dawa ,hii kazi na hio mafuta.


English translation: We are here climbing the mountain known as ‘Mkulima wa Mzee Kobe ya Enemoyaso’ (Farmer of Enemoyaso’s Old Turtle). This mountain is where the young Maasai bring their cattle and slaughter them when they go off into the forest. They slaughter the cattle here and drink medicine. One of these medicines is called ‘orkokola’. Orkokola is a good medicine for wounds, since when it is ingested it spreads throughout the whole body. This medicine is difficult to find since it only grows high atop the mountain. But Maasai still venture to the top of the mountain to fetch this medicine orkokola, and mix it with soup made from a cooked animal head. It is a good medicine to drink animal head soup with. This medicine called orkokola helps the stomach, like if someone has drunk oily fats and has bowel movement, if he drinks this medicine it will flush out the oil. 


Recording 2: Maasai translation: Ore naa ena naa engokola ore sinye engokola ake ituhulakini irkeek pookin aayer pookin siinje amu eoki ake siinye aaokie esupu neeta ake siinye esiai enye naas  tiatwa osesen lenye, metaa kulo irkeek lekiok aituhulhul kulo keek pookin aaok amu kumok kulo keek enje kiokito aaitumia.


Swahili translation: Na hii ni engokola na engokola inachanganywa na dawa zingine na kupikwa maana inakunyiwa pia na supu na pia ina kazi ya kufanya ndani ya mwili yake,sa hizi ndio dawa tunakunywa na kuchanganya na hizi dawa zote maana hizi dawa ni mingi tunakunywa na kutumia.


English translation: This is engokola. Engokola is mixed with other medicines during the cooking process and drunk with soup, since it improves these medicine’s functions in the body. We mix this with many medicines we drink because we have many medicines that we drink and use. 

Orkokola
00:00 / 01:01
Orkokola 2
00:00 / 00:27
00:00 / 01:04
bottom of page