top of page

Ormungushi

Plant details

Searsia pyroides

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Ormungushi

bone fracture

Scientific (Latin) name

Searsia pyroides

Part used

Common name

Common currant-rhus

Recording 1: Maasai translation: Ore ele naa alnjani ojii ormungushi, mungush aa inye eeok irmaasae enegila enegila oloito naa epejokini ingiri engine amu ake epejokini mee eyeri ore pee enya engure neok enaare ele hani nelelek iruburub oloito kwahiyo ele siinje alnjani oruburubie irmaasae olndung’ani. 


Swahili translation: hii dawa inaitwa ormungushi,mungush ndio inakunyiwa na wamaasai mtu anapovunjika mfupa na kuchomewa nyama ya mbuzi sio kupikwa anapohisi kiu anakunywa maji ya hii dawa ni rahisi iunganishe mfupa,hii ndio dawa wamaasai wanaunganisha mfupa.


English translation: This medicine is called Ormungushi. Ormungushi is cooked when a Maasai person breaks a bone. The goat meat is grilled, not cooked in a stew. Then when the person needs the medicine, they drink the water of this plant with the goat meat and this is used to reconnect the bone. 


Recording 2: Maasai translation: Ore ele hani naa ake ejii ormungushi naa ore ormungushi naa alnjani siinye likae ake oirobi medua neoki taatoi ore nai olndung’ani oinoto ajali negila engeju neeku ake iruburubitai neeku ore oshi engata nagirae aaramat ilotung’ani naa ore engare naok nee onomungushi amu engare nalo aikausha eilata pee meponori pee etum iloik airuburubata kwahiyo eji ele hani ormungushi.


Swahili translation: hii dawa inaitwa ormungushi na ormungushi ni mti ni nyingine baridi sio kali ukikunywa mtu mwenye amepata ajali na kuvunjika mguu na kuunganisha wakati mtu huyu anatibiwa ile maji atakunywa ni ya ormungush maana ni maji inaenda kukausha mafuta isiongeseke ndio mfupa ipate kushikana kwa  hivyo hii dawa inaitwa ormungushi.


English translation: This medicine is called ormungushi, ormungushi is a very strong and good tree for medicine. If someone has had an accident and has broken their leg, he can reconnect it if he drinks this medicine. The water he will drink is from Ormungushi, since this medicine helps quickly heal the bone and get the fat out of the way. This medicine is called ormungushi.  

Ormungushi
00:00 / 00:28
Ormungushi 2
00:00 / 00:35
00:00 / 01:04
bottom of page