Maasai translation: osanangururi, naa inye oshi pee eyeri imotorik, neyeri imotorik nairura amu eeta siinye endoki naisaidia osanangururi tiatwa imotorik au eniwok imotorik metii osangururi nebebek mirishp naa aaku eeku imotorik duo sidan metii osanangururi, metaa ele hani oshi osanangururi.
Swahili translation:Â osanangururi,hii ndio sababu supu inapigwa,supu inapikwa inalala maana kuna kitu inasaidia osanangururi kwa supu ama ukikunywa supu bila osanangururi ni nyepesi aina ladha nzuri haitakuwa supu nzuri bila hii dawa,hii ndio ile dawa inaitwa osanangururi.
English translation: Osangururi, this is a plant for making the soup taste better. When the medicine is cooked with the soup, it isn’t the same when you cook it with osanagururi. When you cook your soup with osangururi it will be lighter and taste much better. This is the use of this plant osangururi.