Maasai translation: Kiata olikae hani ojii oseki kiimakita ake siinye oseki naa ore oseki naa alnjani ake sininye ooasihore irmaasae kwanza ore ele hani ojii oseki naa enejo ore naai enepyo irmaasae aajing’ alarabal ore pee epyo aang’aru pee iriha naa akeji elwaa sek elwaa sek, aa ore sek inamaana kira tenebo amu iyolo apa aajo itobiru irmaasae iltageta oitutum, aitolok inji ilndageta tenejing’ engang’ naa lolo tageta elang’ enaa sign ya kwamba kira tenebo arahu kira nabo naa njere ore tenejo irmaasae matapalikinoto nejo olndung’ani aitalwaaka eseki, aitalwaaka eseki pee mitoki alarhabal aiendelea eng’arunye olndung’ani olikae eseriani duo naa taata woo esupatishu kwahiyo neeesihore irmaasae oleng amu kwanza erobil, epej irmaasae eirie ingotiak neeku duo ore inooti naaoki kule olorien loo oseki naa ele naa ohi olikae hani oirie endasati ingotiak kwahiyo olnjani omunyak ele too irmaasae amu kiimakitia nai oreteti nekijo mee alnjani aata emayani kake ore oseki naa alnjan lee emayani too irmaasae kwahiyo meeta ilkuliek keek amu meoki sii oseki duo enaa irkuliek keek kake eesihoreki too im’baak ee igirukoto.
Swahili translation: tuna mti mwingine inaitwa oseki tumeangazia pia oseki na oseki ni dawa ambayo wamaasai wanatumia kwanza hii dawa inaitwa oseki wamaasai wakisema mungu wakiingia kwa vita wakitaka kugawanya wenye wanapigana wanasema tumelalisha huu mti na inamaanisha tuko pamoja maana wamaasai walikuwa wanatengeneza vitu ya kuunganisha watu,wanalalisha mti kwa mlango wa kuingia boma na ni hizo mti ndio unavuka na inaamanisha ya kwamba tuko pamoja au tuko moja na ndivyo wamaasai wanasema tusamehana mtu anasema nimeweka chini huu mti,ndio vita iishe ndio inatumika kutoa amani na uzuri uje kwa hivyo wamaasai wanafanya nayo maana ina harufu nzuri,wamaasai wanachoma wakitengeneza vibuyu ya kuweka maziwa sasa inakuwa ile iko ya kukunywa maziwa ya oseki ni huu mti mwingine wamama utumia kupanguza nayo vibuyu,kwa hivyo hakuna mti nyingine inatumika sababu oseki haukinyiwi kama mti zingine lakini utumika kwa kuamini.
English translation: We have a tree we call oseki, oseki is a tree the Maasai often use. This medicine called oseki has many uses. When there is a war and God wants to stop it, and he wants to divide those that are fighting, he makes this tree appear. Now the Maasai use this tree to unite people, so they can put this tree under the doorway to enter a boma, and when you step over the tree it means that you are together with the people in the boma. When Maasai people apologize, they offer this tree as a peacekeeping plant. When someone puts down this tree, it means a war is over. It is used to create peace. The Maasai also use it because it has a good smell, so the Maasai will burn this plant to make a gourd to store milk, and the milk will taste good. So oseki is not a medicine to be cut like other plants, it is used for faith. Â