top of page

Osilalei

Plant details

Commiphora africana

Plant use

Disease/ Afflicted area

firemaking, gum

Maasai name

Osilalei

Scientific (Latin) name

Commiphora africana

Part used

Common name

Commiphora

Recording 1: Maasai translation: itaai orkiti rangai lijo ele orpiron, nnimbir nepuku engima, nekigwet aitaunye irkipiren lekiyeri uji, imotorik amu medanya ele hani, nekiata taa meaning’ure enye ninyaal aitaa big g,...


Swahili translation:  inatoa kijiti ndogo ya kushika kama hii ya kutoa moto,unatumia mti nyingine na kutoa moto,unatoa pia kitu ya kukorogea uji,supu maana hii miti haivunjiki haraka,pia inatoa kitu ya kutafuna kama ball gum.


English translation: This tree produces a small stick you use to make fire. If you rub another piece of wood with it, you can create fire. It is also a good wood to make a stirring stick, since it does not break in hot substances. It’s sap can also be chewed as a gum. 


Recording 2: Maasai translation: Ore osilalei ore imbaak enyena naa are ake, tenigwatu niidong’ kemushu naake edoru, neyer ake shai kanaa armajani, etaa sii ake enaing’ure nee inimodu tataanji kaana onohi aing’ure oo irmeek, ninyaal ina ake ingasin enyena. 


Swahili translation: Osilalei kazi yake ni mbili,ukichonga na kusiaga'inakuwa nyekundu,inapika chai kama majani,iko na kitu ya kutafuna ya sio kama ile ya kununua kwa duka,hiyo tu ndio kazi yake.


English translation: Osilalei has two jobs. If you cut the leaves and grind them, the powder is red and it can be used to make a red tea. It also creates a kind of gum, not unlike wha you get at the store. That’s its job. 

Osilalei
00:00 / 00:45
Osilalei 2
00:00 / 00:29
00:00 / 01:04
bottom of page