Maasai translation: Ore ele naa osinoni neropil naa inye apa iyeng’e irmaasae ingishu aitaa enaraa amu eropil naleng’, tening’waaya imbenek enyena naake eropil neeku tenepuk ingiri naake epuku ingiri sidan nee eletoki eng’ou, nemepej ingiri nemeinyal neirony asarge le ngerr, eirony olengine, neirony olengiteng’ naa sidai enindaunye engike oo irmaasae amu enana elahani, olnjani sidai naleng’ neirie indomonok ingotiak aadung’ taata kuna keek enye nepeji naa neirie engoti, nelepunye kule naaropil nemeiganda miruhau aangwei arashu onohii najoo irmaasae minyoriru, metaa enjani sidai naleng’.
Swahili translation: hii ni osinoni inaharufu nzuri ndio wamaasai zamani wanatumia kuchinja nayo ngombe kufanya mahali ya kuweka nyama maana harufu nzuri,ukinusa majani yake inaharufu nzuri,ukitoa nyama ikiwa na harufu nzuri inakuwa safi,nyama haichomeki sana na haiharibu inanyonga damu ya kondoo inanyonga pia ya mbuzi na ya ngombe ni nzuri pia ukitoa mswaki kwa wamaasai maana iko nyepesi,ni mti nzuri kabisa na wamama wanatumia kuoasha nayo vibuyu ya maziwa na kukata hizi miti zao na kuchoma na kuoasha nayo kibuyu,unapakia maziwa kutoka kwa ngombe haiwezi ganda na kuoza haraka au ile wamaasai wanasema kunuka ni mti nzuri sana.
English translation: This is osinoni, it smells good, right? When the Maasai slaughter cows they lay this down beneath the meat because it will make the meat smell good. If you smell it it has a good smell. When the meat smells good because of the leaves it will be clean, the meat will not burn as easily and won’t spoil as fast. It also is good for cleaning cows and goat blood to drink. If you make it into a brush Maasai mothers use it to clean their milk gourds. The tree can also be cut down and burned to make a gourd. Then if you fill the gourd with cow milk it will not spoil and the gourd will not rot as quickly. The Maasai know this tree has a very good smell.