Maasai translation: Ore eokoto enye naake ebelu nindong’oki engobo nipik shai niok, nekiar angohoke naleng’, metaa alnjani taa sininye orsukuroi naleng’ kake meeta eniya endanata aake igilu keduo ninjo mitong’oki basi niok nekiar naleng’.
Swahili translation: kukunywa yake kila siku unatoa na kuswaga na kuweka chai unakunywa,inaponesha tumbo kabisa,'sasa hii dawa inaitwa orsukuroi ni nzuri hakuna pahali unapeleka unakata mzizi unapatia unakunywa na inaponesha kabisa.'
English translation: You should drink this every day. You must remove the root and grind them to make a tea, then if you drink it it will prevent stomach ache. This medicine is called osukuroi, it is good, you should always take it. Cut the root, boil it, drink the water and you will be safe completely.Â